Rais
Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la
Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE) akiongea na Mwenyekiti wa Tume
ya Uchaguzi na timu yake wa DRC jijini Kinshasha katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye
uchaguzi wa nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.
Rais
Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la
Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE akitembelea mojawapo ya vituo
vya kupigia kura jijini Kinshasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi wa
nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.Rais
Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la
Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE akitembelea mojawapo ya vituo
vya kupigia kura jijini Kinshasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi wa
nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.
Your Ad Spot
Dec 22, 2023
Home
featured
Kimataifa
RAIS MSTAAFU DK. KIKWETE ASHIRIKI MISHENI YA SADC KWENYE UCHAGUZI MKUU CONCO-DRC

Tags
featured#
Kimataifa#
Share This
About CCM Blog
Kimataifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇