Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) imeibuka mshindi wa kwanza katika tuzo za Uandaaji wa taarifa za fedha kwa mwaka 2023, katika kundi la Idara Huru za Serikali (Independent Government Department). Pichani, Mkurugenzi wa Usimamizi wa Utendaji, Ufuatiliaji na Tathmini – Mashirika ya Kibiashara wa Ofisi ya Msajili wa Hazina (OTR) Lightness Mauki, akikabidhiwa tuzo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, CPA Jamal Kassim Ally, wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo zilizondaliwa na Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA), katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki, Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu wa Taasisi hiyo Hassan Mohamed.
Your Ad Spot
Dec 3, 2023
OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YANG’ARA, YAIBUKA YA KWANZA TUZO ZA NBAA
Tags
featured#
Uchumi#
Share This
About CCM Blog
Uchumi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇