LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 27, 2023

MNEC SULTAN: WANACCM JENGENI UMOJA KUHARAKISHA MAENDELEO




Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sultan Salahe kutoka Mkoa wa Rukwa, amewataka  wana CCM kujenga umoja wenye nguvu usio wa kinafiki ili kuleta maendeleo ya haraka mkoani humo.


Amebainisha hayo wakati wa muendelezowa ziara zake za kikazi wilayani Nkasi iliyoanza Desemba 13 hadi 15, 2023.


 Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, MNEC Sultani akihimiza umoja huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages