LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 2, 2023

MAKONDA AMTEMBELEA MUFT WA TANZANIA SHEIK MKUU ABUBAKAR ZUBER BIN ALLY

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Idara ya Itikadi na Uenezi  Paul Makonda akipokea dua kutoka kwa Muft wa Tanzania Sheikh Mkuu Abubakar Zuber Bin Ally kabla ya kuondoka, alipomtembelea Ofisini kwake, Makao Makuu ya Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA) Jijini dar es Salaam, jana.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages