LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 8, 2023

KOMREDI KINANA AKUTANA NA KATIBU MKUU WA SWAPO

 



 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa, Disemba 08, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages