LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 11, 2023

CHATANDA ASHIRIKI MAZISHI YA BI HAFSA MTASIWA




Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda akiwa na MNEC Salim Abri (ASAS), Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Taifa  Subira Mgalu ,Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa Zaynab Mwamwindi  ,  Waziri wa Maji Juma Aweso na   Mkuu wa Mkoa wa Iringa pamoja na  Viongozi Mbalimbali wa Serikali Chama na Jumuiya UWT  leo wameshiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Maji ya Bonde   la Wami/ Ruvu Bi Hafsa Mtasiwa Nyumbani kwa Mumewe Dr Mtasiwa Mtaa wa Mlandege Iringa Mjini


Aidha Marehemu aliwai kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa mwaka 2012-2017.


INALILAH  WAINALILAH RAJIUN.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages