LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 18, 2023

CDE MWAJABU MBWAMBO APOKEA WANACHAMA WAPYA WA UWT TAWI LA KIVULE MASHARIKI, WASEMA WAMEJIUNGA KUUNGA MKONO RAIS DK. SAMIA

Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa Dar es Salaam Mwajabu Mbwambo,  amepokea Wanachama wapya wa Jumuiys hiyo Tawi la Kivule Mashariki. 


Wanawake hao wamevutiwa sana kujiunga na UWT ikiwa ni ishara ya kuunga mkono Juhudi za Rais Dk. Samia Sulu Hassan katika kutekeleza mambo mbalimbali yanayohusu Wanawake na watoto kwenye afya, elimu, maji na kupinga ukatili wa kijinsia. 

Cde Mwajabu Mbwambo akikabidhi kadi kwa mwanachama.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages