Mwenyekiti wa Chama Cha Mapimduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Alhaji Adam Kimbisa akimkabidhi tuzo maalumu Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa DODOMA, Neema Majule kwa utendaji wake Bora wa UWT.
Hafla hiyo imefanyika hivi karibu baada ya Majule kukabidhi msaada wa vyerehani 150 kwa wanawake wa UWT katika Kata 150.


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇