LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 15, 2023

SIKILIZA UJUMBE MARIDHAWA KUTOKA KWA CHONGOLO

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo akiihimiza serikali kuharakisha kukamilisha ujenzi wa Gridi ya Umeme ya Taifa kwenda mkoani Katavi.


Aidha, Komredi Chongolo ameagiza kukamilisha haraka malipo ya fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa mradi huo.


Chongolo alitoa maagizo hayo wakati wa ziara yake  ya siku 5 katika Mkoa wa Katavi iliyoanza Oktoba 2 hadi 7, 2023.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages