LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 26, 2023

CHATANDA: LEENI WATOTO KWA KUZINGATIA MILA NA DESTURI NZURI

 


Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Mama Mary Chatanda (MCC) amejumuika na Waumini wengine katika kushiriki kushiriki Ibada takatifu katika Kanisa la KKKT ushirika wa Mpwapwa, Mkoani Dodoma, Leo tarehe 26 Novemba, 2023.


(MCC) Chatanda amepata fursa ya kuzungumza na Waumini wa Kanisa hilo ambapo alitoa salamu za Upendo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Aidha, amewakumbusha Wazazi kuendelea kuzingatia Mila na Desturi nzuri katika kuwalea Watoto, Lakini pamoja na Kupinga vitendo vya Ukatili wa Kijinsia.


#UshirikiWaIbadaTakatifu

#UWTImara

#UWTJeshiLaMamaSamia

#KaziIendelee

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages