LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Nov 9, 2023

CDE MWAJABU MBWAMBO MWENYEKITI UWT MKOA DAR ES SALAAM ASHIRIKI ZIARA YA KAMATI SIASA MKOA UKAGUZI UTEKELEZAJI WA ILANI WILAYA YA TEMEKE

08/11/2023

Temeke

Kamati ya siasa ya mkoa wa Dar es Salaam, imefanya ziara wilaya ya Temeke na kukagua miradi Sita iliyotekelezwa na Serikali ya wamu ya sita na fedha za ndani za halmashauri Own-source. 


Miradi iliyotembelewa ni miradi ya huduma za kijamii shule Sekondari Lumo, msingi Si na awali sigara na vituo vya afya kurasini, Mkundongwa. 


Hakika miradi yote imetekelezwa kwa kiwango cha juu. Pongezi kwa Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa kuimarisha na kusogeza huduma za kijamii kwa wananchi wa Temeke. 

Pichani.

Mwenyekiti wa Uwt Mkoa Dsm Ndugu Mwajabu Mbwambo (Katikati), akiwa na Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi ndugu Khadija Said (kushoto) na Abubakari Abubakar mjumbe Kamati ya siasa mkoa
Mwenyekiti wa Uwt Mkoa Dsm Ndugu Mwajabu Mbwambo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali walioshiriki ziara hiyo alwakiwemo Mwenyekiti Jumuiya ya wazazi ndugu Khadija Said na Abubakari Abubakar mjumbe Kamati ya siasa mkoa
Ukumbini.





.


Uwt Imara

Jeshi la  Mama

Kazi iendelee

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages