Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumjulia hali, Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim, nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, baada ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mwanadiplomasia huyo mbobezi, kwenye hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam jana, Septemba 30, 2023.
Your Ad Spot
Oct 1, 2023
RAIS DK. SAMIA AMTEMBELEA NYUMBANI WAZIRI MKUU STAAFU DK. SALIM AHMED SALIM
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇