LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 30, 2023

RAIS DK. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA BURUNDI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Gervais Abayeho, Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages