LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 31, 2023

KOMREDI LULANDALA AONGOZA KIKAO CHA SEKRETARIETI YA UVCCM JIJINI DAR ES SALAAM.

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Komredi Fakii Raphael Lulandala (MNEC), leo tarehe 31 Oktoba, 2023 ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa kilichofanyika Katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya UVCCM Upanga Jijini Dar Es Salaam.

#KulindaNaKujengaUjamaa

#SisiNaMamaMleziWaWana

#Kaziiendelee

Imetolewa na

Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM-Taifa

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages