LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 4, 2023

KOMREDI CHONGOLO AKAGUA MRADI MKUBWA WA MAJI USEVYA MLELE

Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo amekagua mradi mkubwa wa maji wa Usevya wilayani Mlele wenye thamani ya sh. Bil. 4.2.

Amefanya ukaguzi huo wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama mkoani Katavi Oktoba 4,2023.







 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages