LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 9, 2023

CHONGOLO ASHIRIKI KIKAO SHINA NAMBA 6 SINGIWE WILAYANI KALAMBO

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akihutubia katika kikao cha Shina namba 6 linaloongozwa na Mwanyekiti Konordi Wamwelu katika Kijiji cha Singiwe, Kata ya Lyowa wilayani Kalambo, Rukwa Oktoba 9, 2023 wakati wa ziara ya kuiamarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM mkoani Katavi Oktoba 6, 2023.
Wananchi wakiimba wimbo wakati wa kumkaribisha Komredi Chongolo.


Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Makongoro Nyerere akihutubia wakati wa kikao hicho alichokitumia pia kujitambulisha.

Katibu wa NEC Oganaizesheni ya CCM, Issa Haji Gavu 

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa,


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages