LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 25, 2023

BALOZI MBAROUK AMKABIDHI RABIA OFISI YA SUKI CCM DODOMA




Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Ndugu Rabia Abdallah Hamid amekabidhiwa Ofisi Rasmi na aliyekuwa Mkuu wa Idara Hiyo Ndugu Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk ambaye ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Makabidhiano hayo yamefanyika Mapema Leo Tarehe 25 Oktoba 2023 katika Ofisi za CCM Makao Makuu jijini Dodoma.



#CCMApp 

#Kaziinaendelea 

#CCMImara

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages