LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 10, 2023

SERIKALI YAAHIDI MBELE YA GENZABUKE KUJENGA MAHAKAMA YA HERU JUU

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke aitaka serikali kuharakisha ujenzi wa mahakama Heru Juu.


Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Pauline  Gekul imeahidi katika mwaka huu wa fedha kujenga mahakama hiyo..


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akihimiza ujenzi wa mahakama hiyo...



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages