Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Ikwiriri, Rufiji Mkoani Pwani mara baada ya kuhitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.
Wananchi wa Ikwiriri wakimshangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akizungumza nao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuzindua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati akikagua Kiwanda cha Vioo cha Sapphire Floating Glass kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani tarehe 20 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi yake ya picha aliyopewa naSiti Mketo wakati akihitimisha Ziara yake katika Mikoa ya Kusini tarehe 20 Septemba, 2023.
Your Ad Spot
Sep 20, 2023
RAIS SAMIA ALIPOTINGA MKOA WA PWANI, BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA KUSINI
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot





No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇