LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2023

KIKWETE APELEKA BUNGENI SALAMU YA 5G YA YANGA


MBUNGE wa Chalinze ambaye ni mnazi mkubwa wa Klabu ya Yanga, Ridhiwani Kikwete akiwa na baadhi ya wageni kwenye viwanja vya Bunge, Dodoma, akiwaongoza kusalimia kwa mtindo wa 5G ambao hivi sasa hutumiwa na wapenzi wa klabu hiyo wakimaanisha STAILI Yanga Kila ikicheza na TIMU hufumga magoli matano.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages