LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 3, 2023

HAYA NDIYO MAFANIKIO YA RAIS WA YANGA HERSI


 𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗛𝗜𝗜 🔰


Rais wa Yanga sc Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kuvaa 🏅 ya Caf kwa ngazi ya vilabu kombe la shirikisho Caf confederation cup.


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kuhutubia Ikulu tatu tofauti,, yaani Ikulu ya Tanzania,,na Ikulu ya Malawi,, Zanzibar


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kufanikisha dili kubwa la haki za matangazo baina ya Azam media & Yanga sc 41B.


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kufanikisha mabadiliko ya Kweli ya wazi na haki baina ya wanachama na mashabiki Kwenye timu za wanachama.


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kuwatesa vilabu vingine Kwenye soko la usajili #Bakarindondonwamnyeto,,#Dicksonjob ,,#Djumashabani #Azizki Kuna timu ilitoa mchozi mbele ya Ceo wao baada ya kupigwa bao Kwenye kuzinasa saini za wachezaji hawa.


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kuleta mageuzi chanya ya soko la jezi kwa Vilabu #Gsm 


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kushinda medali Nne kwa Msimu mmoja.Ngao ya jamii,,Fa,,Ligikuu,,Mshindi wa pili Caf confederation cup.


Rais Eng Hersi Ally Said ndio rais wa kwanza Kutoka nchini Tanzania kwa ngazi za vilabu kufanikisha dili la mahusiano ya kimaendeleo na timu Kutoka Spain Sevilla.


NB;Nyingine malizia wewe mwananchi mwenzangu 🤝😁.


#Kololitanuna

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages