LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 13, 2023

CHATANDA: UWT IMEJIPANGA KIKAMILIFU KUSAKA KURA ZA MGOMBEA WA CCM MBARALI

 

 Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda amekutana na wananchi wa kata wa Luhanga na Igurusi  Wilayani Mbarali  Mkoani Mbeya na kuwaomba wamchague Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi Bahati Ndingo kuwa Mbunge wa Jimbo la Mbarali.

 
Akizungumza   na wananchi wa kata hizo Septemba 12, 2023,  Mwenyekiti Chatanda amesema UWT Taifa imejipanga kikamilifu kutafuta kura za Mgombea wa CCM  Jimbo la Mbarali usiku na mchana ili chama  Cha Mapinduzi  kishinde kwa kishindo.
 
UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages