LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 21, 2023

TAMKO LA BACCT KUHUSU MKATABA WA BANDARI

Baraza la Mitume na Manabii Tanzania  (BACCT) limesema baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ili kutafakari kwa kina na kuja na msimamo wao kuhusu Mkataba wa Bandari, sasa limekuja na hoja kadha, lakini kabla ya kutoa hoja hizo limetanguliza vifungu kutoka katika Biblia. Taarifa kamili ni ifuatayo;

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages