LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 21, 2023

RAIS WA INDONESIA AWASILI NCHINI, LEO

Rais wa Indonesia, Joko Widodo akipokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk. Stergomena Tax, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya ziara ya Kitaifa ya siku mbili kuanzua leo Agosti 21 2023.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages