LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 8, 2023

RAIS SAMIA KATIKA NANENANE MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere aliyeikabidhi kwa niaba ya Wananchi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nane Naneambayo Kitaifa yamefanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 8 Agosti, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nane Naneambayo Kitaifa yamefanyika kwenye viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 8 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages