Wajumbe kutoka nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa wakati wa Mkutano wa 43 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), jijini Luanda Angola.
Rais Mtaafu wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (wa nne kulia), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka Tanzania katika viwanja vya Chuo cha Diplomasia Angola baada ya kuwasilisha mada kwa wajumbe wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na wanafunzi wa chuo hicho, jijini Luanda Angola. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano, WF, Luanda, Angola)



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇