LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 28, 2023

RAIS DK. SAMIA AFUNGA MAFUNZO YA MA-RC NA MA-RAS KATIKA CHUO CHA UONGOZI CHA MWALIMU NYERERE, KIBAHA, JANA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, baada ya kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa na Makatibu Tawala wa Mikoa katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa mkoani Pwani, jana, Agosti27, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa Mkoani Pwani kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa tarehe 27 Agosti, 2023.
Viongozi mbalimbali, Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa wakiwa ukumbini kabla ya ufungaji wa mafunzo yao katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa Mkoani Pwani tarehe 27 Agosti, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri wa Tamisemi Mhe. Angellah Kairuki katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa mara baada ya kufunga mafunzo yao katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha kwa Mfipa Mkoani Pwani tarehe 27 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages