LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 17, 2023

MWENYEKITI WA CCM DKT SAMIA AONGOZA KIKAO MAALUMU CHA KAMATI KUU

 

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Agosti 2023 ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa kilichofanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.(Picha na CCM Makao Makuu)




 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages