... 🔰 ›› 𝙂𝘼𝙈𝙊𝙉𝘿𝙄
"Kwa asilimia kubwa timu imekuwa na muunganiko mzuri, sina shaka kwenye hilo naamini vijana wangu watafanya kazi nzuri kwenye mechi yetu dhidi ya Azam FC kutokana na maandalizi na mbinu nilizowapa. Uwiiano wa washambuliaji ni mzuri na safu yangu ya ulinzi pia iko imara, kila eneo tumetimia. Kazi ni moja tu kutetea ngao"
©️ Miguel Gamondi
Kocha mkuu wa klabu ya Yanga

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇