LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 5, 2023

RAIS SAMIA AWASILI NCHINI MALAWI KWA AJILI ZIARA YA KISERIKALI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, nchini humo kuanza kiserikali, leo Julai 5, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, Lilongwe nchini Malawi, leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wachezaji wa timu ya Yanga ambao walikuwepo alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi leo tarehe 05 Julai, 2023.Kulia anayewatambulisha wachezaji hao ni mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka Lilongwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, nchini Malawi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka Lilongwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, nchini Malawi, leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Mhe. Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati wakiangalia vikundi mbalimbali vya ngoma za asili kutoka Lilongwe mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu, nchini Malawi, leo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages