Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ametaja sababu za kutosha ni kwa nini serikali imeamua kuruhusu uwekezaji katika Bandari ya Dar es Salaam. Amezitaja sababu hizo katika mkutano mkubwa wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Julai 22, 2023 wenye lengo la kutoa elimu sahihi ya uwekezaji wa bandari hiyo utakaofanywa kwa ushirikiano na Kampuni ya DP World ya Dubai.
Baadhi ya viongozi wakiwa jukwaa kuu.
Sehemu ya wananchi waliofurika kwenye mkutano huo.
RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇