Jul 27, 2023

MAPOKEZI YA KINANA SIMIYU

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Bara Ndg. Abdulrahman Kinana, ameendelea na ziara ya kikazi, ambapo mapema leo Julai 27,2023 amepokelewa katika mji wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu.


Makamu Mwenyekiti ameambatana na Katibu wa NEC,  Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Sophia Mjema.






No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Pages