LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2023

MAMBO YA WILLIAM LUKUVI BUNGENI DODOMA



Mbunge wa Isimani ambaye pia ni Mshauri wa Rais, Siasa na Uhusiano wa Jamii, 
William Lukuvi (kulia) akijadiliana jambo na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe bungeni Didoma Juni 28, 2023.

Lukuvi (kushoto) akijadiliana jambo na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye bungeni Dodoma Juni 28, 2023.


Lukuvi akiwa na baadhi ya mawaziri waliposimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kuahirisha Bunge Juni 28,2023.


 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages