Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imekubali ombi la muda mrefu la Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika kwamba sasa barabara ya Makambako -Njombe kujengwa njia nne ili kuepusha msongamano kwani sasa Mji wa Njombe umekuwa na una shughuli nyingi.
Ombi hilo limekubaliwa baada ya Mwanyika kuhoji bungeni Dodoma Juni 12, 2023 kwamba ni lini serikali itaanza ukarabati mkubwa wa barabara kuu ya Makambako hadi Njombe?
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akipambania ujenzi wa barabara hiyo muhimu...
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇