LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 25, 2023

CHONGOLO: BARABARA YA MZUNGUKO INAYOJENGWA DODOMA NI YA VIWANGO


 Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo, akipata maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakala wa Barabara  Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Salehe Juma kuhusu ujenzi wa  barabara ya mzunguko yenye  urefu wa Km. 112 iliyogharimu sh. Bil. 220.

Chongolo amefurahishwa na kasi ya ujenzi wa barabara hiyo ambayo awamu ya kwanza itakamilika mwakani na awamu ya pili mwaka 2025.

Ziara ya Komredi Chongolo ya siku 8 mkoani Dodoma, inahitimishwa leo katika mkutano mkubwa unaofanyika kwenye Uwanja wa Mtekelezo Karibu na Msikiti wa Gadaff Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages