Jun 28, 2023

CCM DODOMA WAFURAHISHWA NA ZIARA YA CHONGOLO+video

Halmashauri ya Kuu ya CCM Mkoa wa Dodoma imeridhishwa na kufurahishwa na ziara ya siku 10 katika Mkoa wa Dodoma iliyofanywa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Komredi Daniel Chongolo na kuhitimishwa katika mkutano mkubwa uliofanyika kwenye Uwanja wa Mtekelezo jijini Dodoma Juni 25, 2023.. Tamko hilo limetolewa na Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Mbanga mbele ya vyombo vya habari jijini Dodoma Juni 27, 2023.

Baadhi ya viongozi wa CCM
Baadhi ya wanahabari

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbanga akitoa taarifa hiyo...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages