LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 4, 2023

SHABIBY ALONGA MAKUBWA SAKATA LA TANGA SIMENTI, TWIGA SIMENTI+video



Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara bungeni Dodoma Mei 4, 2023, amesema kuwa yeye haoni shida hisa za kiwanda cha Tanga simenti kuiuzia hisa Twiga Simenti,

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akizungumzia kuhusu sakata hilo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages