LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2023

RAIS MSTAAFU KIKWETE ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI KOREA KUSINI, JANA

Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavula, alipotembelea Ubalozi huo Jijini Seoul na kuzungumza na wafanyakazi, jana. Amewahimiza kuendelea kuchapa kazi kwa bidii na kuunga mkono kazi kubwa inayofanywa na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mheshimiwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Togolani Mavula na Wafanyakazi katika Ubalozi huo,  Jijini Seoul, jana.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages