LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 21, 2023

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KAMATI KUU YA CCM, IKULU JIJINI DODOMA, LEO

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya  CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages