LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 4, 2023

MWANYIKA: TUNAKITAKA KIWANDA CHETU CHA MAZIWA NJOMBE+video

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameomba serikali ichukue hatua za makusudi kukifufua kiwanda cha maziwa Njombe ili kuwakomboa wafugaji wanaokitegemea. Ameyasema hayo alipokuwa akitoa mchango wake katika mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi bungeni Dodoma Mei 3, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akipambania kiwanda hicho....
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages