LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 11, 2023

MWANYIKA AZIDI KUIKOMALIA SERIKALI UFUFUAJI KIWANDA CHA MAZIWA NJOMBE+video

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akihoji bungeni Dodoma Mei 11, 2023 kwamba ni nini mpango wa serikali kufufua kiwanda cha maziwa Njombe? Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, akihimiza ufufuaji wa kiwanda hicho...

 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages