LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 9, 2023

MARTHA GWAU ANENA MAKUBWA BAJETI WIZARA YA KILIMO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Mkoa wa Singida, Martha Gwau ameiomba serikali kuwalinda wakulima wa alizeti kwa kuwaongezea kodi waagizaji wa mafuta ya kula nje ya nchi lakini pia kutoa ruzuku kwa viwanda vya ndani vinavyozalisha mbolea ili bei iwe ya chini.

Ameyasema hayo akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Gwau akiwapambania wakulima...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages