Mwenyekiti wa Shina namba 7 Rose Zelemelamjane ambaye anaishi nyumba ya kupangaakimshukuru Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo kwa kumpatia zawadi ya nyumba baada ya kufanikisha harambee ya ujenzi wa nyumba hiyo wakati wa mkutano wa shina hilo katika Kijiji cha Ilambiloli, Isimani, mkoani Iringa Mei 30, 2023.
Katibu waNEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema akianzisha harambee hiyo.
Wananchi waliotoa pongezi kwa viongozi wa CCM na hasa Katibu Mkuu Chongolo kufanikisha harambe hiyo.
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wananchi hao wakitoa pongezi hizo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇