LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 13, 2023

KHAMIS MBETO KHAMIS: KAMA KUNA KIELELEZO KINABAKI AFRIKA NI KITENDO WALICHOKIFANYA WAASISI WETU


Katibu wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Itikadi na Uenezi – Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amesema pamoja na mambo mengi mazuri ambayo muasisi wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume ameyafanya, ni pamoja na kuunganisha Zanzibar na Tanganyika, muungano ambao umekuwa mfano Afrika kwa kudumu miaka zaidi ya 59 sasa.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages