LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 14, 2023

MWANDABILA AITAKA SERIKALI KUTIMIZA AHADI ZA MARAIS UJENZI WA BARABARA TUNDUMA+video

Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mwandabila ameitaka serikali kutimiza kwa wakati ahadi za ujenzi wa barabara katika Mji wa Tunduma zilizo tolewa  kwa nyakati tofauti na marais walipofanya ziara mkoani Songwe.

Serikali kupitia TAMISEMI imeahidi kutimiza ahadi hizo kwa awamu na kuanzia hivi sasa imetenga sh. Bil. 1.5 kuanza ujenzi wa barabara ya KM 2 katika mji huo.

Ameyasema hayo wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 13, 2023.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwandabila akihoji jambo hilo...


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages