LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 22, 2023

MAMBO YAMEIVA MTANANGE WA MWAKINYO VS KATEMBO+video

 Mwandaaji wa pambano la ngumi za kimataifa kati ya Mtanzania Hassan Mwakinyo (kushoto) na Kuvesa Katembo wa Afrika Kusini, Mbunge Sophia Mwakagenda akiwatambulisha wapinzani hao kwa vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili 22, 2023, kuhusu pambano hilo litakalofanyika Kesho Jumapili Arili 23 kwenye Uwanja wa Jamhuri.

Mabondia hao wakitambiana

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwakagenda akielezea kuhusu pambano hilo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages