Mbunge wa Kyela, Ali Mlagila akihoji bungeni ni lini kivuko cha Mwaya-Kajunjumele jimboni humo kitaanza kufanya kazi?Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 27, 2023.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇