LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 10, 2023

KABOYOKA: RIPOTI YA CAG NI NZURI IMELETA MSISIMKO KWA WANANCHI+video


 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Naghenjwa Kaboyoka akitoa pongezi kwa kazi nzuri iliyofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seikali (CAG), kuhusu ripoti ya hesabu za serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2023.

Ametoa pongezi hizo baada ya CAG, Charles Kichere kuzungumza na vyombo vya habari kuhusu ripoti hiyo, jijini Dodoma Aprili 6, 2023 ambapo Kaboyoka aliisifu na kusema kwamba imewasisimua hata wananchi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, KAboyoka akitoa pongezi hizo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages