LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 13, 2023

DKT KAIJAGE ATAKA TAESA, BODI YA AJIRA SEKTA BINAFSI ZIONGEZEWE BAJETI+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage ameishauri serikali kuziongezea bajeti Wakala wa Huduma ya Ajira Tanzania,TAESA, na Bodi ya Ajira ya Sekta Binasfi ili kuzipa nguvu ya utendaji.

Aidha ameipongeza serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara katika sekta binafsi. Ametoa ushauri huo alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni Dodoma Aprili 12, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Kaijage akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages