LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 28, 2023

BAJETI WIZARA YA MADINI YAPITA KWA KISHINDO, WAZIRI BITEKO APONGEZWA+video

Bajeti ya Wizara ya Madini imepitishwa kwa kishindo na wabunge bungeni Dodoma leo Aprili 28, 2023 iliyowasilishwa na Waziri Dkt. Dotto Biteko.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Waziri Biteko akiwasilisha majumuisho...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages